HudumaLink

Simamia vikundi vyako vya JAMII, VICOBA, SACCOS, na MISIBA
kwa urahisi na uwazi kamili

Mwanachama? Angalia taarifa za kundi lako

Rahisi Kwa Simu

Inafanya kazi kikamilifu kwenye simu yako. Au unaweza kutumia kompyuta.

Salama Na PIN

Kila mwanachama ana PIN yake binafsi. Taarifa zako ni salama.

Ripoti Wakati Halisi

Angalia michango ya kikundi chako, misaada, na salio lako wakati wowote.

Misaada Kwa Wenyeshida

Rekodi na uwazi kamili wa misaada kwa msiba, ugonjwa, au majanga.